Salaam ni Ibaada.

Salaam ni Ibaada.

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2009
Posts
3,400
Reaction score
320
Atukuzwe Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo hapa ndani

Shalom Aleichem Jumuiya

Salaam Aleykhum Enyi Waja

Mwadila Mpola

Mwagona Mwagona

Simboni

Mughonile mwebha

Mwakata mweh

Naam naam; ndugu zangu salamu ni Ibaada, hivyo hata uswali, usali vipi lakini kama husalimii wanaokuzunguka basi Ibada zako nje ya hili ni UNAFIKI.

Basi kwa ajili hii niwatakie asubuhi njema na Mungu awafanyie wepesi katika harakati zenu za kutafuta riziki yenu ya kila siku.

Mkazitumie ofisi zenu kupata riziki halali, wala kwenu asiwepo Mtu mwenye kujipatia riziki kwa njia haramu.

Maana Imeandikwa Udhalimu ni Haramu na Mungu hataiondoshea taabu na dhiki na laana nyumba enye kushiba katika Haramu na udhalimu
 
Sawa ila huwezi kuisalimia Kariakoo yote
 
Back
Top Bottom