Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Maisha ni magumu kwelibifu lao halikunyimi ugali.
Wewe pambana na maisha yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha ni magumu kwelibifu lao halikunyimi ugali.
Wewe pambana na maisha yako
Ujumbe kuntuWivu tu.
Watanzania ndivyo tulivyo, hata kwenye familia zetu. Aliyejuu ni mwema kwako as long as bado yuko juu yako, siku ukimfikia ndo utamjua vizuri. Sasa wewe jishaue upande umpite hapo alipo, walah utamkoma.
Hata ukikuta mtanzania anayejidai kuwa na roho nzuri, atakusaidia ufanikiwe ila kamwe usifanikiwe ukamfikia.
Starehe yetu na sie makabwela, tukifanikiwagwa wengi wetu huwa tuna nyodo kama za bwana Jiwe alizokuwa anamfanyia JK mwanzoni mwa utawala wake. Alimuanzia bungeni bonge la spichi akimchana laivu mwenyewe akiwepo, vijembe havikuishia hapo, mara waifu lokapu, mara nini, etc. Japo siku hizi naona hamfanyii nyodo tena, sijui kulikoni.
Kwahiyo wabongo ndo shida yetu, walionacho na wasionacho wote pasua kichwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeh na nusu
Msibani morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani? kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye. Nb kumbe Wcb walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
salam bhana kama mdada poaSalama kumbe hajakua anatabia za mvulana ambaye hajabalehe
Kichwa chako kimejaa siasa tu, utakufa bure.Mbona Maalim Seif Sharif Hamad alikataa mkono wa Ali Mohammed Shein kwenye msiba wa Aboud Jumbe Mwinyi, lakini sijakusikia hata siku moja unalalamika?
Mkuu umemaliza , naona mijitu inamponda Tu sallam lakn hatujui nyuma ya pazia , moja ya nguzo kuu ya WCB ni Mr Sallam , na huwez jua how konde gang wanafight kumwangusha mshikaji ila wapave the way , istoshe Harmonize amekuwa akimshutum vikali Sallam indirect na direct kuputia account zake za wambea za Instagram , mambo ni meng mda hautoshi ....
Weka ushahidi wa Harmo kufight kumwangusha Sallam.Mkuu umemaliza , naona mijitu inamponda Tu sallam lakn hatujui nyuma ya pazia , moja ya nguzo kuu ya WCB ni Mr Sallam , na huwez jua how konde gang wanafight kumwangusha mshikaji ila wapave the way , istoshe Harmonize amekuwa akimshutum vikali Sallam indirect na direct kuputia account zake za wambea za Instagram , mambo ni meng mda hautoshi ....
Ila mzee salam alizingua tuseme ukweli.Maana hata kwenye familia hata watu wawe na ugomvi vp wanapeana mikono baada ya msiba kila mtu anachukua hamsini zake......
Nadhani hiyo ndio sababu ,wanahisi wakipeana mikono wanaibiana NYOTA....Wasanii/Menejaz wengi wanaoendekeza ushirikina ndio huwa na imani hizo potofu.Wanaogopana uchawi na kuibiana nyota
ww unajua nini bhana wewe, ustaarabu unawezaje kuupima ikiwa hata hao watu hujawai kuishi nao, habar unazipata mtandaoni. nikikuuliza sababu za harmo kuondoka wcb utaishia kuongea ya kwenye mitandao. Mm sitaki kumuhukumu mtu ila sallam siyo mjinga hadi adiliki kufanya kitendo hicho.yule dogo Kuna kipindi aliondoka sehemu mara baada ya sallam kufika eneo Hilo, lakini alivyoojiwa akatoa sababu za kinafiki tu.Weka ushahidi wa Harmo kufight kumwangusha Sallam.
Harmo amekuwa mstaarabu sana kwa wcb lakini mijamaa imemchukia bila sababu za msingi.
Mimi bahati nzuri nimewahi kushuhudia chuki za wazi za mondi kwa harmo wakati harmo alikuwa anaonyesha upendo mwingi tu.
Sema imefika kipindi konde mwenyewe amechoka kuwabembeleza ndo maaana sometimes anawachana tu.
Mi niliyoyaongea nimeyashuhudia siyo tu mtandaoni,na hili la leo video imepostiwa hapa wote tumeona. Lakini hayo mengine unayoyaongeza siyafahamu.ww unajua nini bhana wewe, ustaarabu unawezaje kuupima ikiwa hata hao watu hujawai kuishi nao, habar unazipata mtandaoni, nikikuuliza sababu za harmo kuondoka wcb utaishia kuongea ya kwenye mitandao. Mm sitaki kumuhukumu mtu ila sallam siyo mjinga hadi adiliki kufanya kitendo hicho, yule dogo Kuna kipindi aliondoka sehemu mara baada ya sallam kufika eneo Hilo, lakini alivyoojiwa akatoa sababu za kinafiki tu.
Watu sikuiz hawataki unafiki, na sallam kazihirisha hilo full stop.Mi niliyoyaongea nimeyashuhudia siyo tu mtandaoni,na hili la leo video imepostiwa hapa wote tumeona. Lakini hayo mengine unayoyaongeza siyafahamu.
Bifu lazima popote Cha muhimu uhai tu.Msibani morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani? kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye. Nb kumbe Wcb walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
Kubalehe wakati kawa real.Salama kumbe hajakua anatabia za mvulana ambaye hajabalehe
Tatizo sio kulipa,tatizo NI vijembe na nyodo za harmonizeWbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.