Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

Ujumbe kuntu
 
Neno kwiyoo linaweza likakufananisha na gasho
 
Kabisa mkuu watu wanamponda bila kujua
 
Weka ushahidi wa Harmo kufight kumwangusha Sallam.
Harmo amekuwa mstaarabu sana kwa wcb lakini mijamaa imemchukia bila sababu za msingi.
Mimi bahati nzuri nimewahi kushuhudia chuki za wazi za mondi kwa harmo wakati harmo alikuwa anaonyesha upendo mwingi tu.
Sema imefika kipindi konde mwenyewe amechoka kuwabembeleza ndo maaana sometimes anawachana tu.
 
Maana hata kwenye familia hata watu wawe na ugomvi vp wanapeana mikono baada ya msiba kila mtu anachukua hamsini zake......
Ila mzee salam alizingua tuseme ukweli.
Maana harmonize aliwapa mkono wote pale salam peke ake ndo akachomoa imekaaje hii ikiwa pale ni msibani watu wote wanaweka tofauti zao na kuwa wamoja
 
Nilishawahi kusema mwanzo harmo hana bifu na mondi Bali ma managers ndo shida pale wamejaa uswahili mwingi na kuendesha mambo kwa maxoea ,exposure ndo inawasaidia ..mkubwa fella LA saba.d
Salam na babu tale form 4.

Unategemea nini apo??
innocent dependent atabisha kwa sasa yupo atalog na I'd yake nyingine
 
Wanaogopana uchawi na kuibiana nyota
Nadhani hiyo ndio sababu ,wanahisi wakipeana mikono wanaibiana NYOTA....Wasanii/Menejaz wengi wanaoendekeza ushirikina ndio huwa na imani hizo potofu.
 
ww unajua nini bhana wewe, ustaarabu unawezaje kuupima ikiwa hata hao watu hujawai kuishi nao, habar unazipata mtandaoni. nikikuuliza sababu za harmo kuondoka wcb utaishia kuongea ya kwenye mitandao. Mm sitaki kumuhukumu mtu ila sallam siyo mjinga hadi adiliki kufanya kitendo hicho.yule dogo Kuna kipindi aliondoka sehemu mara baada ya sallam kufika eneo Hilo, lakini alivyoojiwa akatoa sababu za kinafiki tu.
 
Mi niliyoyaongea nimeyashuhudia siyo tu mtandaoni,na hili la leo video imepostiwa hapa wote tumeona. Lakini hayo mengine unayoyaongeza siyafahamu.
 
Mi niliyoyaongea nimeyashuhudia siyo tu mtandaoni,na hili la leo video imepostiwa hapa wote tumeona. Lakini hayo mengine unayoyaongeza siyafahamu.
Watu sikuiz hawataki unafiki, na sallam kazihirisha hilo full stop.
 
Bifu lazima popote Cha muhimu uhai tu.
 
Wbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.
Tatizo sio kulipa,tatizo NI vijembe na nyodo za harmonize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…