Salaam wana Jamii

Salaam wana Jamii

nyamayao mzaramo

New Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Naitwa Nyamayao na ni mara yangu ya kwanza najiunga na Forum....kwa utangulizi tu nitakuwa nazungumzia masuala mbali mbali ya nchi haswa upande wa siasa kutoka CCm Dodoma na Chadema pia..mengi nitakayozungumza yatakuwa na ukweli asilimia 100.
odoma walipwe
Ngoja kwanza vijana wa Dodoma walipwe mshahara kisha tutaanza moja....na Heche acha kufuatilia habari za Lumumba

Kwa leo sina mengi ila tupo pamoja.
 
Eeh! Haya. Mwanzo wa ngoma ni lele.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Naitwa Nyamayao na ni mara yangu ya kwanza najiunga na Forum....kwa utangulizi tu nitakuwa nazungumzia masuala mbali mbali ya nchi haswa upande wa siasa kutoka CCm Dodoma na Chadema pia..mengi nitakayozungumza yatakuwa na ukweli asilimia 100.
odoma walipwe
Ngoja kwanza vijana wa Dodoma walipwe mshahara kisha tutaanza moja....na Heche acha kufuatilia habari za Lumumba

Kwa leo sina mengi ila tupo pamoja.
karibu sana nyamayao..!! nilipoona hili jana nimekumbuka yule wa kwenye mchezo wa Kaole, sijui ndie mwenyewe..??
 
Nyamayao mmmmh! Mbona unalipuka mapema hivyo? Na hapo bado mgeni ukizoea je?
 
Last edited by a moderator:
naitwa nyamayao na ni mara yangu ya kwanza najiunga na forum....kwa utangulizi tu nitakuwa nazungumzia masuala mbali mbali ya nchi haswa upande wa siasa kutoka ccm dodoma na chadema pia..mengi nitakayozungumza yatakuwa na ukweli asilimia 100.
Odoma walipwe
ngoja kwanza vijana wa dodoma walipwe mshahara kisha tutaanza moja....na heche acha kufuatilia habari za lumumba

kwa leo sina mengi ila tupo pamoja.

gamba jipyaaaa!
 
Mhh haya nyama yao, halafu kunajukwaa lingine litakufaa sana, na hv ni mzaramo kwenye hayo mambo hamnaga hiyana karibu MMU.
 
Back
Top Bottom