nyamayao mzaramo
New Member
- Jul 9, 2013
- 1
- 0
karibu sana nyamayao..!! nilipoona hili jana nimekumbuka yule wa kwenye mchezo wa Kaole, sijui ndie mwenyewe..??Naitwa Nyamayao na ni mara yangu ya kwanza najiunga na Forum....kwa utangulizi tu nitakuwa nazungumzia masuala mbali mbali ya nchi haswa upande wa siasa kutoka CCm Dodoma na Chadema pia..mengi nitakayozungumza yatakuwa na ukweli asilimia 100.
odoma walipwe
Ngoja kwanza vijana wa Dodoma walipwe mshahara kisha tutaanza moja....na Heche acha kufuatilia habari za Lumumba
Kwa leo sina mengi ila tupo pamoja.
naitwa nyamayao na ni mara yangu ya kwanza najiunga na forum....kwa utangulizi tu nitakuwa nazungumzia masuala mbali mbali ya nchi haswa upande wa siasa kutoka ccm dodoma na chadema pia..mengi nitakayozungumza yatakuwa na ukweli asilimia 100.
Odoma walipwe
ngoja kwanza vijana wa dodoma walipwe mshahara kisha tutaanza moja....na heche acha kufuatilia habari za lumumba
kwa leo sina mengi ila tupo pamoja.
Tofautisha Nyamayao mkongwe wa hapa na huyu nyamayao mzaramo mgeni.Nyamayao mmmmh! Mbona unalipuka mapema hivyo? Na hapo bado mgeni ukizoea je?