Salaam za Waalimu kwa Rais: SHEMEJI MSHAHARA BADO!!

Salaam za Waalimu kwa Rais: SHEMEJI MSHAHARA BADO!!

Miwatamu

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2012
Posts
1,450
Reaction score
489
nimefurahishwa sana na jinsi walimu walivyoonesha hisia za madai yao wakati wa maandamano ya siku ya Mei Day! Wakati wakipita mbele ya jukwaa kuu walipita mbele yake wakisema; SHEMEJI MSHAHARA BADO........!!!
Sasa tusubiri naye atawajibu nini?!
Stay tuned!
 
Kafurahi sana kuitwa Shemeji na kwamba sasa atakua anajulikana kama SHEMEJI DR OF 4PhDs, H.E Field Marshall, Lt J K
 
walimu wasipokumbukwa kuongezewa mishahara mizuri na shemeji yao sijui akiondoka Ikulu nani atawakumbuka!
 
Back
Top Bottom