Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 489
nimefurahishwa sana na jinsi walimu walivyoonesha hisia za madai yao wakati wa maandamano ya siku ya Mei Day! Wakati wakipita mbele ya jukwaa kuu walipita mbele yake wakisema; SHEMEJI MSHAHARA BADO........!!!
Sasa tusubiri naye atawajibu nini?!
Stay tuned!
Sasa tusubiri naye atawajibu nini?!
Stay tuned!