Salaam za Xmas

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kwa Member wote wa Jamii Forums Tanzania@Lizaboni
 

Attachments

  • 1450968754715.jpg
    42.1 KB · Views: 85
Last edited by a moderator:
Salamu Zangu Ziwe Maalum Kwa Wote Wanaonipenda, kunijali na Kutambua uwepo wangu na umuhimu wangu kwao... Wale wanaoungana na mimi kwa kila kitu.. Pia iwafikie masnitch wote wanaozuga ni marafiki kumbe ni Wanafiki na Waongo kupindukia.

Ni aibu kujitangaza unamtumikia Mungu wakati roho yako bado inaruhusu uongo kukutawala.

Ingawa wote ni Marafiki Zangu lakini daima Sitawasahau hawa

Missyrose
witnessj
Luv
winnlicious
madame s
sweetie
jj's
na washkaji wote ambao husimama na mimi katika ukweli.

Tuwe makini tunaposheherekea na tuamini kuwa kwa mapenzi ya Mungu tunaweza...

Mbarikiwe Sana tena sana
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana sista, sipati picha utakavyonukia hiyo kesho, maana leo tu upo hivyo loh!
 
Pamoja sana sista, sipati picha utakavyonukia hiyo kesho, maana leo tu upo hivyo loh!

Anavyo nukia nini? Ulimtafutia zile spray? Atleast awe ananukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…