I appreciate brod darlin, thanks for honoring me always. It means a lot to this young lady. Uwe na sikukuu njema pia my kaka [emoji120] [emoji120] [emoji120]everlenk my dearest, nakutakia sikukuu njema, xmass na mwaka mpya mwema...I'm glad we're friends. atoto my dearest ex, heri ya xmass na mwaka mpya..nimejifunza mengi kwako. Endelea kuwa rafiki wa kweli... Heaven Sent, happy holidays my dear...you're younger but very wise...
...jf-mmu family, happy holidays!!!!
Namtakia sikukuu njema mume wangu kipenzi figganigga
Hahahaa samahani kabisa step momma, mtoto wa watu mpole hivi usiniite kichaa looh. Thanks for everything darlin. Even though we don't know each other, you still mean a lot to me. I surely know that you are a loyal hand worth holding . Uwe na sikukuu njema pia. #blessings#
(I'm kinda emotional today)
Nawashukuru wote mlionitakia kheri ya Christmas, nimefarijika.
Mungu awabariki,nawatakia nanyi pia atoto sumbai bestie mito nipo bwana,tatizo nimekuwa busy sana nowdays.
Bila kuwasahau Mdakuzi GENTAMYCINE DuppyConqueror na marafiki zangu wote humu JF.
I appreciate brod darlin, thanks for honoring me always. It means a lot to this young lady. Uwe na sikukuu njema pia my kaka [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Thanks loads my kaka. Sina hata cha kuongea, ila thanks for everything. You are a very huge blessing to me, and you know how much I love and appreciate you. Stay blessed my kaka
Ulale basi nawe du?!!
everlenk my dearest, nakutakia sikukuu njema, xmass na mwaka mpya mwema...I'm glad we're friends. atoto my dearest ex, heri ya xmass na mwaka mpya..nimejifunza mengi kwako. Endelea kuwa rafiki wa kweli... Heaven Sent, happy holidays my dear...you're younger but very wise...
...jf-mmu family, happy holidays!!!!
Thanks a lot kaka mtumishi, sikukuu njema kwako pia na wote wanaokuzunguka
Thanks swtlove, have a blast
Thank youuuuuu mnyaki mwenzangu. Sikukuu njema na pole kwa kuuguza ( I read it somewhere). Mungu amfanyie wepesi mgonjwa wetu
Asante Sana my lovely hubby ,heri ya Christmass na mwaka mpya kwako pia.......nafurahi pia unanifanya niwe mnene zaidi jukwaani humu.
Heheheh atoto mke mwenzio ana mashauzi jamani. Yeye ananenepa wewe unakonda hahahaha
Yaani huyu mtoto acha tu halafu atoto Ana nenepa na mengi mabwana kibao wanamgombania sasa sisi tuliofunga pingu za maisha na kina Eli twakomajeee!!! ........kinyume chake....lol
Ahhahaha na atanenepa sana mwaka huu (kinyume chake)Yaani huyu mtoto acha tu halafu atoto Ana nenepa na mengi mabwana kibao wanamgombania sasa sisi tuliofunga pingu za maisha na kina Eli twakomajeee!!! ........kinyume chake....lol
Haya nisamehe sana bongeAcheni majungu nyie wanawake!! Nisinenepe kwanini wakati napendwa?