We jidai mjanja.....utanasa tundu bovu!
Aaaaahhh wapi..
Utanifanyaje nikinasa?
Nimechelewa ila nawatakia msherekeo mwema wa birthday ya Yesu... mume wangu kipenzi sumbai japo yy hajani wish..
My lovely twinnie everlenk...
My lovely sister atoto.
My shem darling puppa popote ulipopoteleaa..... Heaven Sent mtoto wa Kaboom usherekee vyema na dady wako....
My busness women Hornet sherekea vyema mamie...
My love Ntuzu sherekea vyema switie....
Kaka yake PNC 1 wembeee sherekea vyema.......
Ndugu zangu katika ujasiriamali. Raimundo, sunola, Rockcity native Root na wengineo wote sherekeeni vyema kama vipi....
My ex RRONDO enjoy vyema.
My mamie nifah Diva Beyonce @ms Lincoln nimewamiss ila sherekeeni vyema...
My brothers Th Name abou saydau pwilo Petterchoka....
My swahiba kipenzi mito sherekea vyema nakupenda sana.
Na wengine woteeeeeeeee nawapenden sana...mvuke mwaka salama.
Tukutane 2016
Sweetie nina kesi na wewe!! Nimekununia rasmi.
Kesi gani tena? Mtaniua mm
Alafu ndio tabia gani kupotea hivyo??
Nashukuru sana ila uache uchoyo, sikukuu imepita ndio unajitokeza!!
We hufai hata kukaribishwa....nakumbuka ile nyingine ulivyonitia hasara
Hahahaaaaa!! Nilikuwa nakomeshea maana umezedi ubahiri, usijali next time sitakutia hasara tenaaa, nitakuwa mstaarabu
Asante sana Shem wangu kwa kunikumbuka , vivyo hivyo salaam zangu za Christmass na mwaka mpya zije kwako shem wangu sumbai na mkewe mpendwa cute b atoto na ex wake Eli79 my dada Heaven Sent na mumewe Paulo Sergio De Souz
Shem letu la ukweee ibra89 Honey Faith Asprin Kaizer na #MMUwote na #sportsfanswote
Wote nawatakia heri ya Christmass na mwaka mpya.
Nawatakia heri ya sikukuu my dearest sister(mkemwenza) everlenk, kichaa Heaven Sent
my exs Eli79 wax Kaboom Manga ML
My darling brother mito, na little lovely sis cute b you know i love you right?
Dearest sister DEMBA Heaven on Earth brenda18
My twin missyrose
Dear friends Valentina Apologise lady Honey Faith nifah Diva Beyonce Ms.Lincoln
My babus Dark City Kaizer Asprin
Darling shem sumbai(umtunze mdogo wangu)
Na wana jf wooote kwa ujumla
Mtu gani unakula hivyo
Niliandaa tumbo kwaajili ya kula pilau ukaninyima, alafu nimekumiss sana kaone vile!!
Na uuande mwengii maana napenda pilau sana, nitakuja na cha kubebea.
Usihofu
Sitakuwepo....