Salaam za Xmas

Salaam za Xmas

Salam zikufikie katoto atoto popote pale ulipo

Salam za heshima, upendo na za kipekee zimfikie wangu brenda18

Alafu ndio tabia gani kupotea hivyo??
Nashukuru sana ila uache uchoyo, sikukuu imepita ndio unajitokeza!!
 
Last edited by a moderator:
Nimechelewa ila nawatakia msherekeo mwema wa birthday ya Yesu... mume wangu kipenzi sumbai japo yy hajani wish..
My lovely twinnie everlenk...
My lovely sister atoto.
My shem darling puppa popote ulipopoteleaa..... Heaven Sent mtoto wa Kaboom usherekee vyema na dady wako....
My busness women Hornet sherekea vyema mamie...
My love Ntuzu sherekea vyema switie....
Kaka yake PNC 1 wembeee sherekea vyema.......
Ndugu zangu katika ujasiriamali. Raimundo, sunola, Rockcity native Root na wengineo wote sherekeeni vyema kama vipi....
My ex RRONDO enjoy vyema.
My mamie nifah Diva Beyonce @ms Lincoln nimewamiss ila sherekeeni vyema...
My brothers Th Name abou saydau pwilo Petterchoka....
My swahiba kipenzi mito sherekea vyema nakupenda sana.
Na wengine woteeeeeeeee nawapenden sana...mvuke mwaka salama.
Tukutane 2016

Sweetie nina kesi na wewe!! Nimekununia rasmi.
 
Last edited by a moderator:
Alafu ndio tabia gani kupotea hivyo??
Nashukuru sana ila uache uchoyo, sikukuu imepita ndio unajitokeza!!

We hufai hata kukaribishwa....nakumbuka ile nyingine ulivyonitia hasara
 
We hufai hata kukaribishwa....nakumbuka ile nyingine ulivyonitia hasara

Hahahaaaaa!! Nilikuwa nakomeshea maana umezedi ubahiri, usijali next time sitakutia hasara tenaaa, nitakuwa mstaarabu
 
Asante sana Shem wangu kwa kunikumbuka , vivyo hivyo salaam zangu za Christmass na mwaka mpya zije kwako shem wangu sumbai na mkewe mpendwa cute b atoto na ex wake Eli79 my dada Heaven Sent na mumewe Paulo Sergio De Souz

Shem letu la ukweee ibra89 Honey Faith Asprin Kaizer na #MMUwote na #sportsfanswote
Wote nawatakia heri ya Christmass na mwaka mpya.

Nawatakia heri ya sikukuu my dearest sister(mkemwenza) everlenk, kichaa Heaven Sent
my exs Eli79 wax Kaboom Manga ML

My darling brother mito, na little lovely sis cute b you know i love you right?
Dearest sister DEMBA Heaven on Earth brenda18
My twin missyrose

Dear friends Valentina Apologise lady Honey Faith nifah Diva Beyonce Ms.Lincoln

My babus Dark City Kaizer Asprin
Darling shem sumbai(umtunze mdogo wangu)

Na wana jf wooote kwa ujumla

Nawatangazieni everlenk na atoto kuwa dhambi zenu zote zimefutwa.

Enendeni kwa amani msitende tena dhambi.

Hakika Mungu atawaangazia njia zenu mwaka huu na miaka mingi ijayo.

Amina.
 
Last edited by a moderator:
Nawatangazieni everlenk na atoto kuwa dhambi zenu zote zimefutwa.

Enendeni kwa amani msitende tena dhambi.

Hakika Mungu atawaangazia njia zenu mwaka huu na miaka mingi ijayo.

Amina.

Mweeeeh babu!! Hayo mamlaka kakupa nani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom