sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Afadhali nikishashiba ndio tutakuita.
Ila vinywaji uje navyo..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali nikishashiba ndio tutakuita.
Ila vinywaji uje navyo..
Bahati nzuri kinywaji changu kikuu ni maji tu.
Haiyaa....
Usisahau kale kamzigo
Akuuu hata siji nako.
ahhaa shem...
Njoo nacho mdogo wako anakahitaji ujuwe. Please...!
Nipe hela.
My bro si amejitolea jamani.
Hebu fanya ulete kamzigo buanaa....
Taachika burr
My bro si amejitolea jamani.
Hebu fanya ulete kamzigo buanaa....
Taachika burr
kicheko hicho, chaki burudani....
dah kuna watu wanaofaidi aisee...
anaiogopa sana pesa yangu huyu mrembo wako.
Vipi babu na wewe unataka ufaidi???
Sikukuu ndio umekula mwenyewe?
Kama hutaki niachike uje nao huo mzigo..mamito anasumbuaUkiachika utakuwa uzembe wako, ole wako
kicheko hicho, chaki burudani....
dah kuna watu wanaofaidi aisee...
anaiogopa sana pesa yangu huyu mrembo wako.
Kama hutaki niachike uje nao huo mzigo..mamito anasumbua
Finally, nimemuona Mama Mary Ndosi uso kwa uso, nikamuuliza ukweli wa hii issue na part yake, akasema yeye alikuwa anafuata tu amri za wakubwa eti yeye hahusiki kabisaaa!
Hivi bwana shemeji umeona kweli ulichoquote??