Salaam

Salaam

mimixoxo

Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
40
Reaction score
11
Jamani habari wana MMU, nimekuja kujiunga natumaini kujifunza mengi kutoka kwenu
 
xoxo ndo nini?

Wewe ni ke au me?
Mke wa mtu au mme wa mtu?

Afu ndo ntakukaribisha, mie ndo dume la mbegu au jogoo la mtaa huu.
 
xoxo ndo nini?

Wewe ni ke au me?
Mke wa mtu au mme wa mtu?

Afu ndo ntakukaribisha, mie ndo dume la mbegu au jogoo la mtaa huu.

mbona mkwara mzito kidume???halafu mi mwenyewe mgeni ila naonaga post zako wewe ni mtetea bana?acha kujichanganya lol.
 
Asante dada Aisha, Kongosho hayo mengine sidhani kama yatakusaidia chochote hata ukifahamu.
 
karibu sana ila pia vaa chupi la chuma huku mmu kuna mambo.
 
sasa kumbe unajua uko fomu wani afu unataka kukokotoa ya fomu foo?

Utayaweza?

Wee mke wa mtu au unapepea tu?
Natafuta wa kumtagisha.

mbona mkwara mzito kidume???halafu mi mwenyewe mgeni ila naonaga post zako wewe ni mtetea bana?acha kujichanganya lol.
 
yengekuwa hayanisaidii ningekuuliza?

Unapajua PM wewe? Utaendaje bila hayo kujulikana?

Au kwa funza dume unakujua? Nani atakupeleka?

Ngoja upotezwe kwenye mataa ndo utajibeba.

Asante dada Aisha, Kongosho hayo mengine sidhani kama yatakusaidia chochote hata ukifahamu.
 
sasa kumbe unajua uko fomu wani afu unataka kukokotoa ya fomu foo?

Utayaweza?

Wee mke wa mtu au unapepea tu?
Natafuta wa kumtagisha.

Kongosho,te te te,you have just kicked on my weekend.
 
Kongosho Hajibebi mtu hapa, we ndo wale unapewa lifti unataka kupiga na honi kabisa....hayo mengine hayakuhusu, ungeweza kukaa kimya pia ni vizuri zaidi.
 
karibu sana ila pia vaa chupi la chuma huku mmu kuna mambo.

gfsonwin kufuli ya chuma? kwani mnakuwaga na kubakana huku ?sasa mbona smile majuzi kasema wadada wasizivae...tuelewesheni si wengine wageni..
 
kumbe unajua afu unauliza makofi polisi?

Raha ya kupewa lift afu ukapiga honi ulishaijaribu?

nikumbushe ID yako ya zamani vile.

Kongosho Hajibebi mtu hapa, we ndo wale unapewa lifti unataka kupiga na honi kabisa....hayo mengine hayakuhusu, ungeweza kukaa kimya pia ni vizuri zaidi.
 
Back
Top Bottom