Salad ya kabichi

Salad ya kabichi

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Posts
202
Reaction score
145
Mahitaji
Kabichi 1
Pilipili hoho 1
Karoti 2
Vitunguu maji 2
Kitunguu saumu 1
Limao au ndimu
Tangawizi 1
Mafuta vijiko 3 (olive oil)
Chumvi

Maelekezo
Katakata kabichi, pilipili hoho, karoti, kitunguu maji. Twanga kitunguu saumu na tangawizi.
Osha kabichi, iweke ichuje maji halafu inyunyizie chumvi.
Changanya pilipili hoho, karoti na kitunguu maji kwenye kabichi.
Kamulia limao au ndimu.
Bandika sufuria, weka mafuta yakipata moto weka kitunguu saumu na tangawizi.
Koroga mpaka viive, weka kabichi koroga kwa muda wa dakika 5. Epua halipendezi likiiva sana, hapo ni muda wa kujiramba.
 
Back
Top Bottom