Salad ya kuku (chicken salad)

Salad ya kuku (chicken salad)

Powa sana ila naona kama umetumia hayo makuku ya kidhungu....ndiyo hayo malaini....wale wetu wenye ladha wanaokula mawe na kokoto hizo dk ni chache sana. Ila kwa ujuzi wangu, ukiwachemsha kwa kutumia vinegar baada ya kuwatoa ngozi wanaiva vizuri na haraka !

asante mamy ni kweli kuku wa kienyeji ni bora zaidi, thanks muuch
 
Back
Top Bottom