Salad ya njegere

Joined
Feb 16, 2014
Posts
67
Reaction score
31
Mahitaji
1.Njegere
2.Carrot
3.Viazi
4.Mayonnaise



chemsha njegere zako..bt make sure zisiwe laini i mean ziive enough kwa kula,fanya hvyo kwa viazi na carrot pia..viazi na carrot vinapendeza ukikata in square shape..


lastly changanya viazi,carrot na njegere thn weka mayonnaise yako..koroga mpka mayonnaise ikae even kwenye salad yako..

NB.usichemshe mpka vikawa vilaini..
chuja maji yote kabla ya kuweka mayonnaise
 
hii itakuwa tamu ukiongezea na yai lilochemwa na kukatwa vipande....na juisi ya limau kwa mbalii...yummy...
Cc farkhina
 
Last edited by a moderator:
Yaonekana nzuri. Hope my kids watapenda. Ntaijaribu in sha Allah
 
Ease one missy i like thanks for the sharing gal..
 
Kama hii
 

Attachments

  • 1405706635589.jpg
    90.7 KB · Views: 311
Kwann? Main ingredient ya mayonaise ni mayai na oil nkupe recipe utengeneze mwenyewe

Vipi maziwa unakunywa?

Maziwa natumia fresh, ila mtindi hapana. Na mayonnaise taste yake ya chumvi na mtelezo wake inanikera. Kwa kifupi sipendi vitu vinavyoteleza teleza kama mlenda, mayonnaise n.k
 
Pole kwa kutoipenda mayonnaise lakini hiyo salad hata usipoweka hiyo makitu(mayonnaise) huwa iko poa sana
 
Kumbe tupo wengi tusiopenda mayonnaise, but ntajaribu kutengeneza hiyo salad

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…