olele
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 1,305
- 1,572
Kwanza ni declare interest, Mimi ni mshabiki mkubwa wa Liverpool toka miaka mingi tu, na kwa sababu hiyo automatic nakua mshabiki wa Salah lakini kwa bahati nzuri au mbaya Mimi ni mshabiki wa SOKA.
Kilichonishangaza ni hatua ya FIFA kutangaza majina ya wanasoka watatu wanaowania mchezaji bora wa dunia na Mohammed Salah akiwa mmoja wapo,
Sasa najiuliza Salah amefanya kitu gani cha maana kuzidi wachezaji kama Leonel Messi au Antonio Griezmann,
Messi kama kumbukumbu zangu ziko sawa amefunga magoli mengi na ana assist nyingi kuliko Salah, akiwa ameisaidia timu yake kubeba makombe mawili..
Griezmann hajafunga magoli mengi sana, lakini Mafaniko ya Atletico Madrid ya kubeba Europa huwezi kuyazungumzia bila kumtaja yeye, au huwezi kuizungumzia Ufaransa na kombe la dunia bila kumtaja yeye..
So na yeye ana makombe mawili makubwa.
Kama kuna mtu ana maelezo yanayoeleweka anisaidie..
Sent using Jamii Forums mobile app