Salah amefanya nini cha maana kwenye soka kuwazidi wenginw

Salah amefanya nini cha maana kwenye soka kuwazidi wenginw

Salah ana deserve,coz ishu hapo ni form ya mchezaji kwa msimu mzima ,kama kigezo ni makombe mi nafikiri wakina de bruyne, mbappe na grizz wote wangeingia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio useme hiyo form ya mchezaji ameipataje.. Yaani amemzidi vipi messi kwa form...

Maana kama kigezo ni FORM basi hamna wa kumzidi messi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi mpeleke argentina hamna kitu ni mavii matupu

Sent using Jamii Forums mobile app
We unakuja na hoja za kishabiki, kati ya hao aliyefanya vizr ni mmoja tu Modrick lakini wote kwenye timu ya Taifa hakuna aliyefanya vzr, utasema Salah aliipeleka Misri kombe la dunia ila unasahau kua Messi ndiye aliyeipeleka Argetina kombe la dunia kufunga magoli matatu ndo Argetina ikafuzu.
Kama ni individual performance wote hao watatu hakuna hata mmoja aliyemfikia Messi by statistics.
Messi si kua hakufanya vizr world cup ila kama ya Argetina ndo haikufanya vzr, Messi amefunga goli kuipeleka Argetina 16 bora.
Kwa maoni yangu wangemuweka Modrick, Verrane na Griezman ningesema wameangalia mafanikio ya Timu kwa sababu Modrik amechukua UCl na kuifikisha timu ya Taifa Fainal, Verrane amechukua UCL na WC na Griezman kachukua Ueropa na WC.
Hapo tungesema wameangalia mafanikio kwenye timu zao.
Ila kama hii tuzo ni kuangalia individual performance Messi yuko mbali sana kwa hao wote by statistics na si maneno ya kishabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umtoe top scorer wa uefa na kombe juu?..
Tumuweke griezmann mwenye perfomance ya penalt.
Ukitaka messi aingie humo hata wengine wataomba neymar aingie pia.
Hii si tuzo ya mchezaji wa Uefa mkuu, hiyo ilishapita na alichukua Modrick labda niambie wewe unatumia kigezo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salah kwenye EPL alikua kwnye form kuwazidi wote, na pia kwny UEFA nadhani Ronaldo tu ndio aliemzidi ,WC messi pia hakufnya poa .Jamaa ana derseve hio chance,.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wengine nyota zao sijui za mbwa, we unamsema Salah ndani ya Liverpool kwenye Uefa unamwacha Firmino.
By statistics Firmino kwenye Uefa yuko mbali kuliko Salah ndani ya Liverpool.
Yani hakuna kigezo chochote kinachombemba Salah labda cha ufungaji bora wa EPL na kua mchezaji bora wa EPL.
Ambayo hayo mafanikio Messi kaenda mbali, kawa mchezaji bora La liga, mfungaji bora Laliga na ulaya kwenye timu tano bora. Na most assist kwenye Laliga
As individual performance Messi yuko mbali kwa wote watatu by statistics.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unakuja na hoja za kishabiki, kati ya hao aliyefanya vizr ni mmoja tu Modrick lakini wote kwenye timu ya Taifa hakuna aliyefanya vzr, utasema Salah aliipeleka Misri kombe la dunia ila unasahau kua Messi ndiye aliyeipeleka Argetina kombe la dunia kufunga magoli matatu ndo Argetina ikafuzu.
Kama ni individual performance wote hao watatu hakuna hata mmoja aliyemfikia Messi by statistics.
Messi si kua hakufanya vizr world cup ila kama ya Argetina ndo haikufanya vzr, Messi amefunga goli kuipeleka Argetina 16 bora.
Kwa maoni yangu wangemuweka Modrick, Verrane na Griezman ningesema wameangalia mafanikio ya Timu kwa sababu Modrik amechukua UCl na kuifikisha timu ya Taifa Fainal, Verrane amechukua UCL na WC na Griezman kachukua Ueropa na WC.
Hapo tungesema wameangalia mafanikio kwenye timu zao.
Ila kama hii tuzo ni kuangalia individual performance Messi yuko mbali sana kwa hao wote by statistics na si maneno ya kishabiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Modric still the best kaisaidia timu ya taifa na club kwa ujumla, bt salaha ni mchezaji nzuri kasaidia liva kufka nusu fainali uefa bt misri akufanya vizur kombe LA dunia, ronaldo kafanya maajabu uefa bt akuweza kuifkisha ureno nusu fainali japo alifanya mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom