Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18?

Salah, De Bruyne, Harry Kane, Sane, De Gea, na David Silva nani kuibuka mchezaji bora Uingereza 2017/18?

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
WhatsApp Image 2018-04-14 at 15.16.16.jpeg

Kevin De Bruyne(Manchester City) na Mohamed Salah(Liverpool) wanatarajiwa kuchuana vikali kuwania tuzo ya mchezaji bora katika ligi ya mpira wa soka baada ya kutajwa katika orodha ya wachezaji 6 wanaowania tuzo hiyo

Wachezaji wengine waliotajwa katika orodha hiyo ni Harry Kane(Tottenham), Leroy Sane(Manchester City), David De Gea(Manchester United) na David Silva(Manchester City)

Eden Hazard(Chelsea), Roberto Firmino(Liverpool) na Raheem Sterling(Manchester City) ni miongoni mwa majina makubwa katika ligi hiyo ambayo hayajatajwa kuwania tuzo hiyo

De Bruyne mpaka sasa amefunga magoli 7 na kutoa pasi zilizozaa magoli 15 katika michezo 32 ya ligi hiyo. Salah mpaka sasa ni kinara wa magoli katika ligi hiyo akiwa na magoli 29
--------

Kevin De Kevin De Bruyne and Mohamed Salah look set to go head-to-head to win PFA Player of the Year after being named on the six-man shortlist.

The Manchester City and Liverpool pair were joined by Harry Kane, Leroy Sane, David De Gea and David Silva as nominees for the prestigious award, which was announced live on BBC's Football Focus.

Eden Hazard, Roberto Firmino and Raheem Sterling were among the high-profile names to miss out on a nomination for this year's prize

De Bruyne and Salah are the two favourites to follow in 2016-2017 winner N'Golo Kante's footsteps and scoop the gong.

Belgian De Bruyne has been a star performer for champions-elect Manchester City this season, scoring seven and assisting 15 in 32 Premier League games.

His main rival for the prize, Salah, is currently top scorer in the division with 29 goals following his summer move from Roma.

Fellow nominee Harry Kane is four strikes behind the Egyptian in the goalscoring charts, and recently attracted controversy for launching an appeal to be awarded Spurs’ second against Stoke City last Saturday.

Joining Manchester City team-mate Kevin De Bruyne on the shortlist, David Silva and Leroy Sane have thrived for Pep Guardiola's men this season as part of an attacking unit that has scored 90 times in 32 games.

The final nominee, David De Gea, has had another superb campaign between the sticks for Manchester United, and is now widely regarded as one the best goalkeepers in the world.

City winger Sane is also one of the main competitors for this year's PFA Young Player of the Year Award.

He was named alongside Raheem Sterling, Ederson, Harry Kane, Marcus Rashford and Ryan Sessegnon in the six-man shortlist.
 
Sio mpenzi wa Liverpool, ila Salah anastahili.

Sema waingereza hawashindwi kumfanyia figisu.

Naona wameanza kumzawadia Harry Kane magoli ya team mates wake!
 
Liverpool wafanye figisu zote wambakize Mo Salah EPL.
Jamaa ana ladha flani kaileta England yaani Ligi inakuwa tamu balaa
 
Kama Utasearch Nyuzi Hizi Za Nani Mchezaji Bora Wa EPL 2017/18 basi Ni Zaidi ya Watumiaji Wa JF.
Kwanza Tungecomment Hizo Zilizopo Kabla Ya Kufungua Mpya.
 
Kwa moyo mkunjuvu mm kama shabiki wa The gunners nampa kura yangu KDB japo yy mwenyewe anampa Mo Salah
 
Kwa moyo mkunjuvu mm kama shabiki wa The gunners nampa kura yangu KDB japo yy mwenyewe anampa Mo Salah
Kazi anayofanya salah ni kubwa kuliko anayofanya kdb...finishing ngumu sheikh,hapo waingereza wataleta 'udini' tu
 
Salah anatisha ila waingereza ni wabaguzi tena hawafai kuwaamini hata kidogo ila ukweli utabaki ukweli salah ndio chaguo la wote
 
Back
Top Bottom