Salah stayed in Nairobi but tumenyamaza

Salah stayed in Nairobi but tumenyamaza

Mmenyamaza hapa..au ndo njia ya kupiga kelele..
 
Watanzania tuna tabia ya kumheshimu anayetuhesimu, na tunamdharau anayetudharau, wale wakenya na mazungu makanjanja wanaosema serengeti, mlima kilimanjaro, diamondplatnums ni wa kwao sisi tunawadharau lakini VICTOR WANYAMA tunamheshimu saaana kwa sababu naye anawaheshimu watanzania na kutambua umajumuhi wa Afrika mashariki, hana unafiki kama walivyo wakenya wengi, anapapenda Tanzania na kila likizo lazima aje kutusalimia ndugu zake, huko alipo anawakilisha vyema waafrika na wana afrika mashariki kwa kipaji na tabia njema asiye na skendo za kijinga. Kwa nini tusimheshimu na kumpa mtaa?

Tanzania tuna asili hiyo ya kumpa mtu jina la mradi mkubwa pale tunapomheshimu,barabara zetu zote zina majina ya wapigania uhuru wa kwanza akiwemo mzee JOMO KENYATTA, Hospitali zote zina majina kwa heshma ya viongozi na watu maarufu Afrika. Huko Kenye sijawahi kufika na mlivyo wabinafsi kivyenuvyenu sidhani hata kuna mradi wowote mlioupa hata jina la mpigania uhuru aliyechelewesha maendeleo ya watu wake ili kuhakikisha Afrika nzima ipo huru ikiwemo Kenya nazungumzia MWALIMU NYERERE?
 
Asante kwa kelele,,maana bila kelele zako nisengejua kama Mo Salah yupo Kibera..!
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Beckham alipewa mtaa?
Wakenya mkipewa respect, mnaleta dharau. Halafu mnataka integration.
This is why we don't like to mess with y'all.
It would be good if you folks rocked with us but if you dont there is still no harm no foul.
 
Back
Top Bottom