Salam kutoka kwa Trump: Thanks giving week

Salam kutoka kwa Trump: Thanks giving week

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
165
Reaction score
450
Kuanzia wiki hii, Marekani kumekuwa na shamrashamra za Thanks Giving ambayo inashehekewa kila Alhamis ya mwisho ya mwezi wa 11. Hata hivyo burudani huwa zinaanza kitambo.

Mimi kwa mwaka huu nashukuru kuwa hai, kuwa Marekani na saa hizi nimeona nijipige unywaji.

Nimejinunulia mavitu mazito ili nilale kwa amani. Kwanza ni Ijumaa kwa hiyo ni burudani tu.

Happy Thanks giving guys.

20241122_143016.jpg
20241122_143005.jpg
 
Back
Top Bottom