Salam Kutoka Marekani: Waafrika wakaandaa tukio la kutuunganisha

Salam Kutoka Marekani: Waafrika wakaandaa tukio la kutuunganisha

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
165
Reaction score
450
Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk.

Tukasikiliza mziki mzuri wa kiafrika takriban kutoka kila eneo. Mzee wenu kwenye kumwaga miuno niko vizuri. Nililiungurumisha uno kwelikweli.

Baada ya kuona uno limetosha nikaenda kupata cocktail. Cocktail yao imeshakuwa packed, nikajipongeza saa hizi nipo gheto nimembonji nasubiri siku mpya.
20240920_192640.jpg

Ila nimeona nije niwaambie nimemwaga uno.

Mshamba mmoja anayewakilisha taifa Marekani.
 
Safi nadhani we ndie jamaa mwenye pensi hapo
Sasa leta video ukimwaga uno!
 
Back
Top Bottom