Basi ndugu zangu, tulikuwa na tukio la kutukutanisha watu wa Afrika kwa hapa nilipo. Tukakutana kupata muziki wa kiafirka na vyakula vya kiafrika. Tumekula Fufuu, Jolof, wali nk.
Tukasikiliza mziki mzuri wa kiafrika takriban kutoka kila eneo. Mzee wenu kwenye kumwaga miuno niko vizuri. Nililiungurumisha uno kwelikweli.
Your browser is not able to display this video.
Baada ya kuona uno limetosha nikaenda kupata cocktail. Cocktail yao imeshakuwa packed, nikajipongeza saa hizi nipo gheto nimembonji nasubiri siku mpya.
Ila nimeona nije niwaambie nimemwaga uno.