Niko na karanga zangu hapa natafuna nilizotoka nazo Tabora kushusha njaa aka apetaiza, maana ndo nimeshuka kutoka SGR...
Nasubiria kwa hamu maji ya kunawa yafike nile nishibe maana kubeba mizigo mizito si kitu rahisi.... kuli wa bandari haoni ndani 🙂.