kintakunte
Member
- Apr 21, 2012
- 42
- 8
Nimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,
Kwanza hakuna haja ya ali kuomba msamaha kwa kusema show ilizimiwa backstage na we we kuita ni upotoshaji kwamba backstage hakukai sound MTU anaweza zima sound just kwa ku order then umekili kuwa ulikuwa backstage wewe wizkid na meneja wa chriss brown katika mazingira ambayo shoo ilisimama kwa nusu saa kutokua na uelewano apande Ali au wiz kid
Then katika mazingira yaleyale ya wewe kuwa na wizkid,meneja wake na Chris's brown bado kunaacha shaka kwamba unaweza kuwa uli influence mitambo kuzima katika perspective ya kibiashara coz ulienda tangaza ama uza bidhaa yako dhidi ya bidhaa iliyokuwa ina perform yumkini