Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,991
Farid aliona mbali"Hawaamini katika kumuinua diamond mmoja au kiba wawili/ Wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja abaki kuwaa dili"
Sumu.
Hip hop ni intelligent movement
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Farid aliona mbali"Hawaamini katika kumuinua diamond mmoja au kiba wawili/ Wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja abaki kuwaa dili"
Sumu.
Viroja vya mashabiki wa Ali K vyaendelea!
Swali kwako mleta mada: baada ya Ali kuzimiwa mic; hatimae Chris Brown alipanda jukwaani na kutumbuiza kabla hajasepa zake! Sasa je; unataka kutuambia kama si Sallam kuzima mic, Kiba angemaliza muda wake wote aliokuwa amepangiwa kisha ndipo Brown angepanda bila kujali kwamba Brown alikuwa anakimbizana na muda?
Na huko sallam atazima mic navohisi maana haeleweki uyo jamaaNaomba nifunge huu mjadala mpaka tuzo za mtv mama zipite
Kajifunze uandishi then urudi hapa upya. Me sina kuku haya mashudu napeleka wapi sasaNimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,
Kwanza hakuna haja ya ali kuomba msamaha kwa kusema show ilizimiwa backstage na we we kuita ni upotoshaji kwamba backstage hakukai sound MTU anaweza zima sound just kwa ku ORDEr then umekili kuwa ulikuwa backstage wewe wizkid na meneja wa chriss brown katika mazingira ambayo shoo ilisimama kwa nusu saa kutokua na uelewano apande ali Ana wiz kid then katika mazingira yaleyale ya we we kuwa na wizkid,meneja wake na Chris's brown bado kunaacha shaka kwamba unaweza kuwa ili influence mitambo kuzima katika perspective ya kibiashara coz ulienda tangaaza ama uza bishaa yako dhidi ya bidhaa iliyokuwa ina perform yumkini
Mdai fidia basiNimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,
Kwanza hakuna haja ya ali kuomba msamaha kwa kusema show ilizimiwa backstage na we we kuita ni upotoshaji kwamba backstage hakukai sound MTU anaweza zima sound just kwa ku ORDEr then umekili kuwa ulikuwa backstage wewe wizkid na meneja wa chriss brown katika mazingira ambayo shoo ilisimama kwa nusu saa kutokua na uelewano apande ali Ana wiz kid then katika mazingira yaleyale ya we we kuwa na wizkid,meneja wake na Chris's brown bado kunaacha shaka kwamba unaweza kuwa ili influence mitambo kuzima katika perspective ya kibiashara coz ulienda tangaaza ama uza bishaa yako dhidi ya bidhaa iliyokuwa ina perform yumkini
Kitendo kipi?Mwisho kwako Salam, kitendo ulicho fanya sio sahihi.
Kitendo kipi?