Salam kwako salam

kintakunte

Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
42
Reaction score
8
Nimeyaona mahojiano ya Iive kati yako salam na DJ wily tuva then ya ali na wily ,

Kwanza hakuna haja ya ali kuomba msamaha kwa kusema show ilizimiwa backstage na we we kuita ni upotoshaji kwamba backstage hakukai sound MTU anaweza zima sound just kwa ku order then umekili kuwa ulikuwa backstage wewe wizkid na meneja wa chriss brown katika mazingira ambayo shoo ilisimama kwa nusu saa kutokua na uelewano apande Ali au wiz kid

Then katika mazingira yaleyale ya wewe kuwa na wizkid,meneja wake na Chris's brown bado kunaacha shaka kwamba unaweza kuwa uli influence mitambo kuzima katika perspective ya kibiashara coz ulienda tangaza ama uza bidhaa yako dhidi ya bidhaa iliyokuwa ina perform yumkini
 
Mna force vitu visivyo na maana ile show haikuandaliwa for kiba tu sioni mantiki ya kumaindi salam kuwa backstage connections hazipatikani VIP.
 

Poa. Sasa jifunze kuandika basi.
 
Viroja vya mashabiki wa Ali K vyaendelea!

Swali kwako mleta mada: baada ya Ali kuzimiwa mic; hatimae Chris Brown alipanda jukwaani na kutumbuiza kabla hajasepa zake! Sasa je; unataka kutuambia kama si Sallam kuzima mic, Kiba angemaliza muda wake wote aliokuwa amepangiwa kisha ndipo Brown angepanda bila kujali kwamba Brown alikuwa anakimbizana na muda?
 
Mna force vitu visivyo na maana ile show haikuandaliwa for kiba tu sioni mantiki ya kumaindi salam kuwa backstage connections hazipatikani VIP.
Yaani hakuna mtu ninayemshangaa kama anayeona Sallam kuwa backstage ni big issue! Anyway, kwa mashabiki wa kawaida najitahidi kuwaelewa lakini Kiba ndo kanishangaza kwelikweli hilo jambo kulikuza wakati anafahamu kabisa kwamba wadau kwenda backstage ni jambo la kawaida sana! Hata Swizz Beatz miezi michache iliyopita kule New York alikutana na Diamond backstage!! Sasa sijui Swizz Beatz alikuwa anahusika na ile show!!
 
Hawataki kuwa na Diamond wawili/Kiba wawili ila wanaamini kumshusha mmoja ili mwingine awe dili....nadhani mmoja angekuwa albino wangeshamnyofoa viungo vyote kwa imani za kufanikiwa mana inaonekana nyota zao si haba..
 
Hapo ndipo utashangaa uwezo wa kufikiri wa watu wengi, yani ni ujinga mtu kuhoji kitu kama hicho wakati anajua wazi wadau hukutana backstage kuna connection nyingine ukishindwa kuzipata backstage ndo nitolee hukai ukazipata tena.
 
Wapinzani wa khba wamekaa kichawi chawi..yaani siwaelewi.. kuingilia mambo ya kiba.. ni ujinga
 
Ni kawaida ya watanzania kulialia na kutafuta wachawi pale wanapokwama, badala ya kujifunza kwa makosa yao na kujituma kwa bidii
 
Hapo ndipo utashangaa uwezo wa kufikiri wa watu wengi, yani ni ujinga mtu kuhoji kitu kama hicho wakati anajua wazi wadau hukutana backstage kuna connection nyingine ukishindwa kuzipata backstage ndo nitolee hukai ukazipata tena.
Upo sahihi kwa 800%!! Michongo mingi inaanzia backstage!
 
Huu ushindani wa kipuuzi tumeuchoka sasa izi thread zimezidi hata wakati wa kanumba watu mlijitahidi sana kumshindanisha na ray leo hii kiko wapi kama sio aibu yenu ray chali na bongo movie yao kumfananisha chibu na kibakuli ni sawa na ardhi na mbingu uyo sallam anawanyima usingiz haya mjiandae MTV atazima tena MIC
 
Umeumizwa sn na hii kitu aisee yani ni kama umekunya boga vile,pole sn
 
Alikiba kuwa mtulivu, si kila kitu lazima uongee, kukaa kimya na kufanya mambo yako ni dawa tosha.

Ukitoa neno linatakiwa liendane na thamani ulionayo, maana thamani yako kubwa sana tofauti na maneno yako. Jaribu kuwa na mshauli makini sio kuongea ongea hovyo, una jionyesha kiasi gani ulivyo mweupe. Hata sehemu ulioojiwa si sehemu muhafaka kwa mtu kama wewe!

Mwisho kwako Salam, kitendo ulicho fanya sio sahihi. Nacho jua Watanzania ni wamoja ila wewe umakuwa unatanguliza maslah sana, pesa sio kila kitu brother. Unakumbuka show ya Friday night Daimond na Tale walipo kubonyeza usiongee kuhusu maswala kuyaomba kampuni kuwapa matangazo WCB mbele ya camera? Siku mlipo kwenda kumtamburisha Rich mavoko? Badilika tunakujua toka upo Clearing.
 
This "ali kiba and sallam" shit sucks. Inventing new answers everyday wont make things look normal. Let's find some new shit in town and discuss, not this one it is outdated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…