Salam kwako salam



si ndio hapo mkuu,kama kiba alitakiwa aendelee kutumbuiza wakati mic ilivyozingua si ingerekebishwa kisha angeendelea na show,mbona baada ya hapo tu akashushwa chini,ndio ujue kuwa hiyo issue ilipangwa na waandaaji wa show,pia salam yeye ni nani hadi azime mic halafu achukuliwe kipoa tu na waandaaji,mashabiki wa kiba waache ujinga,wanajidhalilisha sana kwa kushindwa kureason vitu vidogo vidogo tu
 
siku hizi bifu za kipumbav.u zikiisha ndo utakua mwisho wa ali kiba, na mwenyewe anajua hili ndo mana anajitahidi kila siku kutafuta bifu mpya, kiba ana roho ya kichawi afu anajitia anasali kuna jamaa wanajua kumkejeli Mungu!!
 
tuacheni jamani hayo mamboo!

tudumishe mziki mzuri!
 
Kajifunze uandishi then urudi hapa upya. Me sina kuku haya mashudu napeleka wapi sasa
 
Mdai fidia basi
Nyie ndio mnamuharibu Kiba,Muulizeni kwa nini alikua anategea kupanda jukwaani kwa dakika 30,kwani angeanza kupanda kiba angekufa?Mbona mdee kaanza kabla yao na amepeta,mambo mnaharibu wenyewe mnatupia lawama watu ambao hawahusiki.ushamba tu!
 
Kibakuli tulia umeshapotea,wewe tangia 2005 unahit tu,one8 upo na hukutumia fursa,mwenzako kaja 2009 katusua wewe umebaki kulialia acha ujinga.
 
Waswahili wanasema km huwezi shindana nae basi ungananae.ally anatakiwa atambue kuwa mondi ni perfect boy in Africa apunguze lawama ile sio lever yake.huyohuyo alisema kuwa mond ananunua tuzo huku ni kuwatia ujinga mashabiki zake jitathmin ally ili ujue ulipokosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…