SALAM TMK kundi jipya la mkubwa fella linaloenda kuwa tishio hapa mjini.

Kijoka cha ndimu, hayo majina ya TMK mkuu
 
Ni nzuri katika kukuza ushindani maana hapo yamoto hawatabweteka then sisi masharti wa music tunakuwa tunapata ile roho inapenda
 
Huyo dogo Podo ni nomaaaaaaaaaaaaaa,kafunika balaaah dogo anajua kila kitu,ana sauti,ana manjonjo,ana madoido,anajua kucheza daaaah!!!! namvutia picha miezi kadhaa mbeleni atatisha sana
 
Namshauri mkubwa Fellah aangalie swala la kumiliki redio au tv maana haya anayotaka huku akisubiria promo za redio nyingine anaweza asitimize malengo yake.
 
Copy and paste ya yamoto band kama aiyola na boss wake wanavyofanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…