SALAM TMK kundi jipya la mkubwa fella linaloenda kuwa tishio hapa mjini.

SALAM TMK kundi jipya la mkubwa fella linaloenda kuwa tishio hapa mjini.

Nimeicheck hii ngoma,madogo wameanza vizuri...ila ningewashauri baadhi yao wabadilishe A.K.A zao coz ni mbaya kupata kutokea,wasisahau kuwa hata haya majina ya kisanii wanayotumia yanaplay role kubwa saana ktk msanii kujulikana kirahisi kwa hadhira...bora huyu aliyejiita @Osama na nazani ndo atakuwa famous haraka kuliko hao wengine.
Kuna huyu dogo aliyekuwa akiimaba kiitikio na osama yupo vizuri sana lkn aka yke si rafiki kwa kweli @podo namshauri atafute jina la kijanja,na pia kuna kale kadogo kao kaliimba mwisho kbs kama kanalalamika,inabd nae abadili ID yke anajiitaje @kijokachamdimu cjui...atafute jina la kijanja bana hadhira imtambue haraka....big up kwao,hasa hasa @Osama na @podo wameipamba hii ngoma!
Kijoka cha ndimu, hayo majina ya TMK mkuu
 
Ni nzuri katika kukuza ushindani maana hapo yamoto hawatabweteka then sisi masharti wa music tunakuwa tunapata ile roho inapenda
 
Huyo dogo Podo ni nomaaaaaaaaaaaaaa,kafunika balaaah dogo anajua kila kitu,ana sauti,ana manjonjo,ana madoido,anajua kucheza daaaah!!!! namvutia picha miezi kadhaa mbeleni atatisha sana
 
Namshauri mkubwa Fellah aangalie swala la kumiliki redio au tv maana haya anayotaka huku akisubiria promo za redio nyingine anaweza asitimize malengo yake.
 
Copy and paste ya yamoto band kama aiyola na boss wake wanavyofanana
 
Back
Top Bottom