Ziwafikie Na wote wanao inama Na kuzungushaWasalaam
Kama kichwa kinavyojieleza salam zangu ziwafikie watu wafuatao;
•Wanaume wote wanao fanya scrub na kufanya make up.
•Wanaume wote wanao tumia emoji kama hii
•Wanaume wote wenye selfie stick
•wanaume wote ambao mna dressing table
•mwanaume ambaye ukimaliza kuoga unavua nguo zote na kuanza kujipaka lotion mwili mzima
NAWASALIMIA SANA.
Salamu za Mtoa Thread zimekufikiaPia Zimfikie mtoa thread Aache kufatilia mambo ya watu ambayo hayaadhiri maisha yake binafsi
NimezipataZiwafikie Na wote wanao inama Na kuzungusha
Kuna washkaji hadi dawa ya nywele walikuwa wanaweka ila kwa pesa yao WENYEWE. Mi hakuniadhiri.Salamu za Mtoa Thread zimekufikia
Acha Mara Moja sasa si umeshajua kwamba ni Umama..Kuna washkaji hadi dawa ya nywele walikuwa wanaweka ila kwa pesa yao WENYEWE. Mi hakuniadhiri.
Aisee basi upo vizuriNimezipata
Kama unaamini ni umama nichoree 7.Acha Mara Moja sasa si umeshajua kwamba ni Umama..
anawasalimia wanaume wa dar!bora ungefikisha hizi salamu kwa mapunga maana hakuna hata sifa moja ya kiume hapo juu
Happy Womens day..Kama unaamini ni umama nichoree 7.
Dadavua wifeNimezipata
Kama ni umama nichora 7Acha Mara Moja sasa si umeshajua kwamba ni Umama..
Kama ni umama nichoree 7Acha Mara Moja sasa si umeshajua kwamba ni Umama..