Salam zangu ziwafikie watu wafuatao

Salam zangu ziwafikie watu wafuatao

PILSNER

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
437
Reaction score
755
Wasalaam

Kama kichwa kinavyojieleza salam zangu ziwafikie watu wafuatao;

•Wanaume wote wanao fanya scrub na kufanya make up.

•Wanaume wote wanao tumia emoji kama hii

•Wanaume wote wenye selfie stick

•wanaume wote ambao mna dressing table

•mwanaume ambaye ukimaliza kuoga unavua nguo zote na kuanza kujipaka lotion mwili mzima

NAWASALIMIA SANA.
 
Ziwafikie Na wote wanao inama Na kuzungusha
 
Mh hapo kuna mtu kalengwa...ila mtoa mada kazunguka weee
 
Back
Top Bottom