Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wao huyo pingine kanyimwa posho.Sisi wengine tuitikie Ameen Wanajuna kwa vilembaHapa kuna CHESS game ,sijui ni nani ataibuka kidedea,Mzee Mwanakijiji hebu iweke wazi hiyo game ,ili kama itawezekana tuweze kulinganisha move !
"heshima ya uoga ni utumwa" mwalimu j.k nyerere. Miaka hii ya uhuru wa habari bado unaongea kwa mafumbo mzee mwanakijiji? Ujumbe utafikaje kwa walengwa kama hawataelewa mafumbo?
Hivi kwanini tusianzishe juhudi ili mafisadi wasi ruhusiwe kuingia katika nchi zinazo pinga ufisadi?
"heshima ya uoga ni utumwa" mwalimu J.K Nyerere. Miaka hii ya uhuru wa habari bado unaongea kwa mafumbo mzee mwanakijiji? ujumbe utafikaje kwa walengwa kama hawataelewa mafumbo?