Salama Jabir amkejeli Idris Sultan

Salama Jabir amkejeli Idris Sultan

Itabidi Mo Dewji aelezee umma wa watanzania watekaji walikuwa wakina nani na lengo lao ni nini?
 
Sitashangaa siku nikisikia watu wanadownload mzigo hapo.
Fedheha kwa mwanaume kufanya vitendo kaa hivi hasa ukizingatia una wazazi na ndugu pia.
 
Napata shida hata kukoment ngoja nimsamehe sultan
 
Wasanii akili zao ni za Dr Shika aka Zero Brain.
hawa jamaa wanatumika sana kuwatoa watu kwenye reli....utawala uliopita walitumika sana popo bawa na mzee wa kikombe...utawala huu teknolojia imekua basi wanatumika tu kama salama
 
Salama na yeye ni wale wale..
..
analizwa..na kina bangi moto ...

Fid Q ana kazi!
 
Back
Top Bottom