Sele Mkonje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 643
- 845
Hatushangai mwanamke kuwa mja mzito labda kama kuna jingine, Salama ni kewakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
kupigwa mimba c ndio zao madem,we ulitaka apigwe busha?Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Ana miaka 25Nivizur apate mtoto aiseee maana umri nao unaenda
Hapana ana 30'sAna miaka 25
Kwani kasema ni ajabu?kwn ajabu mwanamke kupata mimba?
Kwan unasema hivyo???Hapana ana 30's
Ameanza kuendesha planet bongo kama mwaka 2003 hivi na alikuwa anaonekana tayari yuko matured, so kwa logic tu ya kawaida naunga mkonyo hoja kwamba ana zaidi ya 30Kwan unasema hivyo???