Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Mfano, we umechangia hapa imekusaidia nini..??
Wewe si mtoa mada, comment ilidhamiriwa kuwa ya mtoa mada lakini unajitia kiherehere cha kuuliza. Kama umetiwa mimba na wewe tafadhali katafute wa kumpelekea kisirani cha ujauzito wako, usilete kwangu. Na kama dhamira yako ni kuongeza idadi ya post basi umefanikiwa.
 
Ungemwandikia PM....
Ukishaiweka hapa yeyote yule anakujibu
 
Ingekuwa ajabu kama ungesema umesikia tetesi mwanamme ana mimba. Mwanamke mimba bwana si mnamuona Madame range hadi anaweka matambara. Kuhusu mimba ya nani anayejua ni huyo aliyeibeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…