Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Ili iweje
 
Na yeye amuite mwanae Tulia.

Uzuri wa hili jina halina jinsia. Kote linakubali.
Umenichekesha, Sugu anatoka bungeni kumkimbia akiwa Mbeya huyo ndio dada yake na kimbilio lake. Siasa wakati mwingine haina maana.
 
Kawaida tu acha azae alituchora sana tu kumbe naye anaenda reba
 
Ikiwa ni kweli au sikweli wewe utapata faida gani??? Acha umbea tafuta yanayokuhusu@
 
basi yawezekana hiyo mimba kajipiga mwenyewe kama haeleweki kama ni ke au me
 
Umbea bana...hebu ngoja nitengeneze picha ya hili..

Saa kumi na mbili alfajiri nasikia mlango unagongwa kwa fujo...nashtuka na kujaribu kutaka kujiridhisha kama ni kweli au naota...mlango unagongwa tena, safari hii inaambatana na sauti 'fungua bana kuna habari nzito huku' ........najikusanya kujiinua na kujongea mlangoni kwa kasi.....nafungua mlango na kabla ya salamu wala nini nakumbana na sauti kali "Salama Jabir kapigwa mimba'"...nami nashtuka na kujikuta nasema "TOBA" huku naziba mdomo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…