Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Unaonaje umuache Salama na mimba yake, we uje nikupige yako uhesabu miezi kwa uhuru?Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Ufaivustaa nje huko majukwaani, kwenye kubeba mimba mwanamke ni mwanamke tu. We niambie faivusiksi gani ndio kakushinda uone kama sikumpa mimbaNakula kwa macho,5 star girl si mchezo....
Kwani Salama hapati period?Yani kuna watu wametokwa na mipovu kwa habari hii ambayo chanzo chake ni gazeti la udaku!
Halafu kwa habari za uhakika zaidi ni vizuri tafute Salama mwenyewe.Yani kuna watu wametokwa na mipovu kwa habari hii ambayo chanzo chake ni gazeti la udaku!
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Ha ha ha,kama namuona kalalia kifua cha msela mjivuni,mkono wake ukipiga zeze kule amazon.dah kumbe nae anakata mauno fresh kwenye vijiti vya washkaji,
Dooooo.......Hapana. Mimba yetu inaweza tangazwa kimataifaKamjaze sepengaa
Sasa hutak ufke anga za majuuDooooo.......Hapana. Mimba yetu inaweza tangazwa kimataifa
Itatangazwa hadi cnn,aljazeera,BBC,dw,skynewz etcDooooo.......Hapana. Mimba yetu inaweza tangazwa kimataifa
Mmoja wao Chiku KetoKiukweli kabisa,huwa nawapongeza wanaowatia mimba wanawake wanaojifanya wanaume na wasela kwa sana.
Kuna mmoja alikuwa ilala mtaa wa Nzasa,alikuwa na swagger za kiume,mikato ya dressing na kila kitu,kumbe anasikilizia ugwadu ugwadu,akala banana chop,Kwishney.
Nimecheka hadi machozi, dah!!!fasihi bwana ukiijua hadi raha.Salama gani blaza..huyu beki tatu wangu?
Hebu nijuze kwanza...
Hizi avatar ni nyiekwn ajabu mwanamke kupata mimba?
unataka ukajazilishie viungo?