Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Tetesi: Salama Jabir apigwa mimba

Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante
Unaonaje umuache Salama na mimba yake, we uje nikupige yako uhesabu miezi kwa uhuru?
 
Yani kuna watu wametokwa na mipovu kwa habari hii ambayo chanzo chake ni gazeti la udaku!
Halafu kwa habari za uhakika zaidi ni vizuri tafute Salama mwenyewe.
 
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na ina miezi mingapi..? Asante

Vp ameshajifungua??
 
Salama gani blaza..huyu beki tatu wangu?
Hebu nijuze kwanza...
 
Kiukweli kabisa,huwa nawapongeza wanaowatia mimba wanawake wanaojifanya wanaume na wasela kwa sana.
Kuna mmoja alikuwa ilala mtaa wa Nzasa,alikuwa na swagger za kiume,mikato ya dressing na kila kitu,kumbe anasikilizia ugwadu ugwadu,akala banana chop,Kwishney.
 
Mmoja wao Chiku Keto
 
Back
Top Bottom