Mbona kavaa matembele sasa?Ni salama jabir mshabiki na mwanachama wa simba Sc, za chini ya kapeti zinasema yeye ndio msemaji mpya wa Simba
Karibu msimbazi ecejay
View attachment 1921685
aende Twiga StarsNi salama jabir mshabiki na mwanachama wa simba Sc, za chini ya kapeti zinasema yeye ndio msemaji mpya wa Simba
Karibu msimbazi ecejay
View attachment 1921685
Wewe unataka mpira au hamasa?Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema