Salama Jabir kuwa msemaji mpya Simba

Kwanini swala la Kigogo kuwa msemaji wetu wa Simba limeishia wapi?
Au kuna vigezo hajatimiza mimi naona anatufaa sanaa

Kama vipi abaki Ezekieli kamwaga, mnasemaje wanasimba wenzangu katika hili?
 
Binafsi nilikuwa napendelea sana professionalism kama aliyokuwa nayo Bwana Jafar Maganga wa Azam FC.
 
Hana hamasa huyooo. Huyo mdada hana amsha amsha kama Manara .Ukweli ndiyo huo na msema kweli ni mpenzi wa Mungu tusijifariji kirahisi hivyo kuziba pengo la Bugati ni ngumu si rahisi kihivyo.Kama hamuamini tusubiri muda utasema
Hamasa inabebwa na USHINDI uwanjani. Kama timu haifanyi vzuri uwsnjani FANYA UWEZAVYO KAZI BURE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…