Salama Jabir: Mwanamke mwenye uwezo mkubwa na akili kubwa ya kufanya interview

Kingjr2

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2018
Posts
644
Reaction score
1,274
Habari Wakuu,

Salama Jabir ni miongoni mwa mastaa wa kike wachache waliofanikiwa kujenga heshima hasa kwenye tasnia ya habari na mwenye uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu wazito na mwenye uelewa wa aulize nini na asiulize nini kwa mtu anayemfanyia mahojiano

Wanahabari wengi wa Tz wanakosa weledi wa kuuliza maswali hivyo kumfanya muhojiwa asipate nafasi ya kufikisha vitu vingi kwa wanaomskiliza. Kwa mfano, hivi karibuni Lady Jaydee alifanya mahojiano na Milard Ayo kwenye Amplifier na pia alifanya mahojiano na Salama kwenye Salama na ya EATV

Ukifuatilia utaona Salama aliuliza vitu vingi na kwa mpangilio kwa Lady Jaydee na akawa na uwezo wa kufunguka vitu vingi kuliko alivyohojiwa na Milard Ayo. Labda kwasababu ya "usela" wake, vinginevyo Salama Jabir ni miongoni mwa wanawake wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kufanya msikilizaji ashibe taarifa kutoka kwa muhojiwa

Redio presenters wana assignment kubwa ya kufanya kujua namna nzuri ya kupata taarifa kwa watu mashuhuri na sehemu moja wapo ni kujifunza kutoka kwa watu Kama kina Salama Jabir

Ukifuatilia mahojiano yake tangu akiwa na kipindi cha mkasi na sasa "Salama na" utauona uwezo wake wa kutafuta taarifa na kuilisha hadhira taarifa sahihi kupitia mahojiano
 
Huyu ambaye alikuwa anam limit Fatuma Karume kwenye kujielezea hii Alhamis iliyopita au kuna Salama Jabir mwengine ?

Kazi ya uandishi nao una misingi yake, moja wapo ni kutomruhusu mgeni atawale kipindi badala ya wewe unaemuintavyuu.
Ina mana pale angeachiwa aongee angeongea weee, bila kufika mwisho kwa hiyo lazima mtangazaji amlimit
 
Ahaa
 
She is very smart and hardworking, I love her...cheki kanavyopiga kazi.
 
Habari Wakuu,

Salama Jabir ni miongoni mwa mastaa wa kike wachache waliofanikiwa kujenga heshima hasa kwenye tasnia ya habari na mwenye uwezo mkubwa sana wa kufanya mahojiano na watu wazito na mwenye uelewa wa aulize nini na asiulize nini kwa mtu anayemfanyia mahojiano

Wanahabari wengi wa Tz wanakosa weledi wa kuuliza maswali hivyo kumfanya muhojiwa asipate nafasi ya kufikisha vitu vingi kwa wanaomskiliza. Kwa mfano, hivi karibuni Lady Jaydee alifanya mahojiano na Milard Ayo kwenye Amplifier na pia alifanya mahojiano na Salama kwenye Salama na ya EATV

Ukifuatilia utaona Salama aliuliza vitu vingi na kwa mpangilio kwa Lady Jaydee na akawa na uwezo wa kufunguka vitu vingi kuliko alivyohojiwa na Milard Ayo. Labda kwasababu ya "usela" wake, vinginevyo Salama Jabir ni miongoni mwa wanawake wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kufanya msikilizaji ashibe taarifa kutoka kwa muhojiwa

Redio presenters wana assignment kubwa ya kufanya kujua namna nzuri ya kupata taarifa kwa watu mashuhuri na sehemu moja wapo ni kujifunza kutoka kwa watu Kama kina Salama Jabir

Ukifuatilia mahojiano yake tangu akiwa na kipindi cha mkasi na sasa "Salama na" utauona uwezo wake wa kutafuta taarifa na kuilisha hadhira taarifa sahihi kupitia mahojiano
She is one amongst the best media presenters in the country. She has got all it takes to interviewing. She has got the language for interrogation,curiosity,creativity, the ability of reading things there are between the lines, and of course good and presentable looking. She also looks bold to some extent. What I really don't know is whether she can maintain consistency inline with working under pressure.
 
Anaweza lakini sifa kubwa tumpatie producer wake Josh Murunga, huyu amesaidia sana kumfundisha na kimshape salama kwenye tasnia ya interviews na salama anabidii ya kujifunza, kusoma na umakini.

Ilikuwa kazi kidogo kumuhomi wakili msomi Fatma Karume sababu Fatma ana hulka ya kujibu na ni mwanasheria mwenye ueledi ambaye hata Mahakamani anaweza ku cross examine vizuri sana.

Kawaida mtangazaji anakuwa mtu wa mwisho kabisa lakini producer ndio wanaandaa maswali,
 
Niliipenda Ile interview aliyofanya na Zuhura Yunus wa BBC ,
Mchanganyiko wa facts , intelligence na umbea umbea kidogo Ila iliprove yupo spot on na very smart
Salama anajitahidi
 
She is one amongst the best media presenters in the country. She has got all it takes to interviewing. She has got the language for interrogation,curiosity,creativity, the ability of leading things there are between the lines, and of course good and presentable looking. She also looks bold to some extent. What I really don't know is whether she can maintain consistency inline with working under pressure.

Reading!
 
Back
Top Bottom