Salama Jabir na Mkasi

Inawezekana sijaelewa mantiki yako..
Unauliza maswali? Unapinga? Unakubali au unashangaa!
Weka sawa meseji yako
 
Inawezekana sijaelewa mantiki yako..
Unauliza maswali? Unapinga? Unakubali au unashangaa!
Weka sawa meseji yako
Mbona kila kitu kipo wazi? Huwezi kusema fulani anaiga kuvaa viatu wakati kuvaa viatu ni jambo la kawaida! Na ndio maana nikakuuliza ni kitu gani ambacho ni unique kwenye Mkasi cha kusema kwamba Salama anaiga, labda kama ni kufanyia show salon otherwise sioni alichoiga. Kipindi ni cha mahojiano na kuna vipindi kibao vya mahojiano! Na kila kipindi cha mahojiano ni kawaida kuwapo maswali! Wanachopenda watu kwenye Mkasi ni vile Salama anavyoendesha kipindi chake na maswali; vitu ambavyo huwezi kusema ameiga coz' she's good on that tangu alipokuwa PB.
 
Muungano ukivunjika nitamlipia work permit salama abaki huku huku. Naupenda uchizi na uhuni wake tu.
 
Kama kazi zao ni za saloon za unyozi basi ni bora wajikite zaidi huko kuliko kutuharibia kipindi na maswali yao ya kijiweni..haswa huyo muba ni kijisauti chake kama kakabwa koo...wao waendeleze swali lengwa but sio wamuondoe muulizwaji kwenye mada!!!
 
√√√, brilliant....
 
Ni kipindi kizuri sana lakini hakina producer mzuri
 
....na hasa yule dogo brazamen analipuka na maswali from nowhere na kumchanganya mgeni mwalikwa,kuna haja ya kuwa na mwongozo..
 
Yah wanaboa sana hawa jamaa sazingine mtu ajamaliza kuelezea jambo wao wanarukia akafu yule mwingine kwanini asiwe smart? ?yani ile minywele yake na zile ndevu utadhani beberu.
 
uko vizuri sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…