Salama Jabir punguza usela


nimekuelewa mkuu
 
Asije anza kujuta baadae wakati wa kuhitaji mtoto ili hali umri hauruhusu
 
Kama anakukera kamuangalie yule jamaa anayesemaga zamadamuuu tbc ndio atakufuraisha.

Yaan mm yule wa zamadamu huwa ananikera na ile saut yake


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 

kweli kabisaa nakumbuka nyumbani tulikua tunamkubali sana ila ni kitambo sana we kweli unamjua
 
mm bibi yangu huwa habanduki kwenye kochi mpaka auone huo mkasi.
 
Abaki hivyohivyo tu, atapoteza mvuto.

Kuna watu wanavutiwa na usela wake
 

Kuna show moja ellen nakumbuka alisema ile ni character tu aliokua nayo sio kwamba real yuko vile alimwambia dogo flani au labda alimtania...
 
Ngoja nikape mimba mtaona katakavyo pendeza.
 
Kama anakukera kamuangalie yule jamaa anayesemaga zamadamuuu tbc ndio atakufuraisha.

acha zako wewe kunamtu anamuangalia huyo jamaa alafu akafurahi? yule jamaa ana mtindio sio bure! si ndo huwa anatangazaga kipindi cha kwaya?
 
Abaki hivyo hivyo napenda style yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…