Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nlisikiaga fid q alipiga pale kisela
Mwanaume akibehave kama mwanamke kila mtu analalamika,mwanamke akibehave kama mwanaume jamii nayo ifanyaje???
muache afanye yake na wewe fanya yako
Unakaa home kumbe?
yaani home kwetu mama anamuangaliaga salama tu na hasinziii ng'oo...!
Hahahaha umepewa za kichwa usiku hadi saivi una hasira😏😏 act like a man wewe mtu mzima! Umetumwa?
Ujinga wangu nini sasa?
Ujinga wako ni kuuliza anakaa home?
Ulitaka akae street?
acha zako wewe kunamtu anamuangalia huyo jamaa alafu akafurahi? yule jamaa ana mtindio sio bure! si ndo huwa anatangazaga kipindi cha kwaya?
unamaanisha 0713?
Labda wengi mmemjua salama kuanzia Bongo star search na Planet Bongo lakini huyu binti alikuwa anafanya kipindi cha mahaba usiku kama Diva.....sauti lainiiiiii na muziki wa taratibu sana kipindi hicho sista du sana tu............Nadhani kuna uhusika alioamua kuvaa ili kuzidi kufanya watu wafatilie vipindi vyake lakini kama ungekuwa umewahi kumsikiliza those days wala usingehofu na muonekano wake wa sasa.....
point.. wengine wako kiushabiki tu
unamaanisha 0713?