Salama Jabir punguza usela

Salama Jabir punguza usela

Mwanaume akibehave kama mwanamke kila mtu analalamika,mwanamke akibehave kama mwanaume jamii nayo ifanyaje???

muache afanye yake na wewe fanya yako

Chukulia mfano Ben Kinyaiya sijui halafu umuamgalie na Salama TomBoy,,,yupi anayechukuliwa tofauti na kwaninini labda mmoja atetewe na mwingine apondwe?

Naona kuna watu wana Akili za kuvukia barabara kwendea Chooni tu.


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Kama anapenda uanaume akojoe huku amesimama sasa kama hajajikojolea


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha umepewa za kichwa usiku hadi saivi una hasira😏😏 act like a man wewe mtu mzima! Umetumwa?

Ujinga wangu nini sasa?

Ujinga wako ni kuuliza anakaa home?
Ulitaka akae street?
 
Tena yy anapenda xana kuwauliza wasanii walio kuja kwenye kipindi cha mkasi kuwa umeoa au una mchumba japo yy salama hapendi kuweka wazi mambo yake.
 
Mwenye picha akiwa ndani ya gauni au sketi please!!!
 
I must speak from my heart, binafsi nampenda "hivyo alivyo, na hivyo anavyo ji brand" maana haigizi, yuko confortable na muonekano wake. Ningekuwa sijaoa, ningepeleka mshenga labda nikute kuna shida ....................
ciara___like_a_boy_cover_art_by_shinodafan94-d3hjywwTAG.png~c200
 
Labda wengi mmemjua salama kuanzia Bongo star search na Planet Bongo lakini huyu binti alikuwa anafanya kipindi cha mahaba usiku kama Diva.....sauti lainiiiiii na muziki wa taratibu sana kipindi hicho sista du sana tu............Nadhani kuna uhusika alioamua kuvaa ili kuzidi kufanya watu wafatilie vipindi vyake lakini kama ungekuwa umewahi kumsikiliza those days wala usingehofu na muonekano wake wa sasa.....

Nami nakili maneno yako..........yaani kusema la ukweli SALAMA ana sauti tamu ajabu kama ASALI kabla hajajibadili muonekano!
 
Back
Top Bottom