Salama Jabir utaolewa lini?

Salama Jabir utaolewa lini?

Wanaume wa Dar washaanza. Ati Salama anaolewa lini? Mmmh!
ha ha haaaaaa nimecheka xna haya her ww wa kig0ma
FB_20160330_11_44_33_Saved_Picture.jpg
 
Jamani Tumsaidie huwa Ni msomaji mzuri Wa JF..Aje ajibu yeyee Ni Bingwa Wa kuwauliza wenzake ivyoo Na kuwalaumu jju..kuna siku nimekutana nae Mlimani City sijui ndo msella wake yule ana vipi..Mtoto Wa kikee kama Dumeee!!!Salama my Friend Don't Behave that way..Suluali unaishsha makalioni halafu mtoto Wa Kiislam..unafundisha nini wadogo zetuuu..au una maana Gani..mbona wakati unatangaza East Africa Radio ilikuwaa MTU safi Na pia ulikuwa ulisema unapenda sana mpenzi wakoo wakati huo..Who changed your.mind.my dear..Ama wavuta ??please kama wapo washauri wake wamuweke sawa..Ni Dada yetu.tunampenda tungependa nae One Day Apakate Mwaka..Sio yy kumshangaa Mwema Sepetu Ili hali nae Ni kwamba walewale
Salama na Sepetua hawana tofauti...Lakini wasichekane
 
Salama mimi huo uweupe wako na smile lako na huo ufupi duh!! Mimi basi kabisa😛😛😉😉..
Unachoniuzi tu swaga zako ni za ajabu..
salama4.png
 
zile swaga zake halafu akiwa kwenye siku zake naona anatia huruma, itakuwa anachukia mnooo.
Labda hanaga hizo siku au kafika menopause kabla ya umri..
#Just Joking!!!😀😀😀😀
 
Wa
Na nyie wanaume wa mikoani si muende kwenye jukwaa lenu la kilimo?
Wanaume wa Dar wana matatizo makubwa sana..

Kulia lia tu kama -ke; ni aibu sana mwanaume kusema unaishi Dar
 
Ataolewa na nani?? Labda akaolewe mwanae aliyemzaa akiwa form five...! Maana bintiye tayari katosha kabisa...!
 
Jamani Tumsaidie huwa Ni msomaji mzuri Wa JF..Aje ajibu yeyee Ni Bingwa Wa kuwauliza wenzake ivyoo Na kuwalaumu jju..kuna siku nimekutana nae Mlimani City sijui ndo msella wake yule ana vipi..Mtoto Wa kikee kama Dumeee!!!Salama my Friend Don't Behave that way..Suluali unaishsha makalioni halafu mtoto Wa Kiislam..unafundisha nini wadogo zetuuu..au una maana Gani..mbona wakati unatangaza East Africa Radio ilikuwaa MTU safi Na pia ulikuwa ulisema unapenda sana mpenzi wakoo wakati huo..Who changed your.mind.my dear..Ama wavuta ??please kama wapo washauri wake wamuweke sawa..Ni Dada yetu.tunampenda tungependa nae One Day Apakate Mwaka..Sio yy kumshangaa Mwema Sepetu Ili hali nae Ni kwamba walewale
Huyu Salama nikimuona tu kwenye tv lazima nihame chanel, Mwanamke gani yule yupo kama mwanaume!!! Binti alipewa sura mzuri na muumba wake lakini haya anayoyafanya ndio yanayomfanya aonekana mbaya. Hivi kweli kuna mwanaume anapata hisia ya kutaka ku-do nae huyu mwanamke!!! Hisia hizo zinatoka wapi!!!! Yaani huyu hata nimkute njiani amejilaza mtupu siwezi kupandisha mzuka.
 
Salama mimi huo uweupe wako na smile lako na huo ufupi duh!! Mimi basi kabisa😛😛😉😉..
Unachoniuzi tu swaga zako ni za ajabu..
salama4.png
Alivyo Flat nyuma na hizo swaga zake kama anajichora vile, mke gani hana tako halafu analazimisha kuvaa suruali!!!!
 
huyu akitakaga kufanya shopping nahisii anaingia kwa maduka yanayo uza nguo za kiumee
 
Huyu Salama nikimuona tu kwenye tv lazima nihame chanel, Mwanamke gani yule yupo kama mwanaume!!! Binti alipewa sura mzuri na muumba wake lakini haya anayoyafanya ndio yanayomfanya aonekana mbaya. Hivi kweli kuna mwanaume anapata hisia ya kutaka ku-do nae huyu mwanamke!!! Hisia hizo zinatoka wapi!!!! Yaani huyu hata nimkute njiani amejilaza mtupu siwezi kupandisha mzuka.

mkuu utakua namatatizo, mtoto mbona anavutia namna hii, halafu mademu mithili ya salama huwa watamu sana.
 
Back
Top Bottom