Salama Jabir vs Dj Fetty

Salama Jabir vs Dj Fetty

Ahsante kwa maelezo mafupi, ila hapo kwenye red unamaanisha A twn mkoa au ndio jina la school.

Kuhusu Fetty na Salama kila mmoja ana sifa na vivutio vyake, kuna anavyoweza Fetty Salama hawezi na vice versa.

Ila kuna mambo wanashahibiana, wote ni mashombe, wote ni wana vielementi vya kidume haswa ugomvi, nimeshamsikia Fetty mara kadhaa anachimba biti akiwa hewani...aliwahi kumchimba biti dogo mmoja wa bongo fleva akiwa kwenye interview xxl...something like...nitakuzibua (kama nakumbuka vema), Salama anatumia cha Arusha ila sina uhakika kwa Fetty ila najua anakula gomba...siku moja alikuwa anatoa ushuhuda jinsi jamaa zake walivyodakwa na mamwela yeye akaachwa wakati wote walikuwa wanachanja gomba.

And last but not least...napenda kuwasikiliza na kuwaangalia wote.

ni kweli, zaidi fetty ni mvuta sigara aliebobea.
 
Wote akili zao za ovyo kutokana na wayatendayo.ila kondom mkali
 
Wote masela, sema Salama kapitiliza! Wote ma-Tom Boys, sema Salama kapitiliza! Wote wakali, sema Salama kapitiliza...but hili hapa, ni mimi binafsi; am certain kwamba naweza kulala kitanda kimoja na Salama hadi asubuhi na wala nisishtuke, lakini DJ Fetty, hata kama yupo chumba cha pili, nitamfuta huko huko....pamoja na usela wake, element za kidemu zipo tu!
 
salama ananafasi Yake katka fan ya Utangazaj.... Ae inspire weng sana nahs hata hyo fatty .... So lazma apewe heshma yake.... Na kumpambanisha na fetty ni Kumshusha hadhi... Ila fety anaweza ila si kwakumpambanisha na salama plus hata ki IQ salama anaonekana yupo vzur kuliko fetty
 
Wote masela, sema Salama kapitiliza! Wote ma-Tom Boys, sema Salama kapitiliza! Wote wakali, sema Salama kapitiliza...but hili hapa, ni mimi binafsi; am certain kwamba naweza kulala kitanda kimoja na Salama hadi asubuhi na wala nisishtuke, lakini DJ Fetty, hata kama yupo chumba cha pili, nitamfuta huko huko....pamoja na usela wake, element za kidemu zipo tu!

Mwenda wazimu pekee ndiyo anaweza akaamini huu uwongo wako!
 
Vile vitoto vyote nuksi ila binti jabri kazidi sana! anamudu kila idara!!!!!!
 
Back
Top Bottom