Salama Jabir wa Mkasi, Lugha Chafu hii Haikubaliki Hata Siku Moja

Kweli salama kiboko angemjibu waka test nae atajua ukweli maana hayo ni mambo binafsi zaidi!
 
ting'a no. 1 moko kwa vijana,sio lazima uangalie kuna ATN,ile ya mwingira,ya emanuel,au subiria ya kakobe!
 
Naomba niwe mkweli tu kwenye hili, clouds tv kwangu ni scrambled channel, Tbc hii channel niliispare kwa ajili ya tamthilia ya La Revenge tu, Mkasi hicho kipindi huwa kinanikuta accidetaly tu tena kikiwa katikati, sijawai kuona la maana zaidi ya kuoshana miguu na kukata kucha, nilisikitika sana kumuona Aden Rage naye akiwa ni miongoni mwa washiriki wa ujinga huo.

But all in all Salama ana kipaji kizuri sana ila nadhani apunguze bangi na akubali kama yeye ni mtoto wa kike. Atajifanya msela sana na kauzu zaidi ya dagaa lakini mwisho wa sikuu akikojowa ni lazima achuchumae.
 
Mi niliskia lile swali kama msanii wetu anarudia boksa ama chupi
 
nyie hamjui labda salama mwenyewe alikuwa analitaka hilo limandingo akalishudie, na ndio maana akamuuliza anatumia condom aina gani ili akazibebe kaisa
 
Hiyo ni kawaida, si chanel ya vijana!halafu jina la kipindi linajieleza,MKASI! so sio ishu.....
 
huu ndo ubaya wa kutumia watu unprofessional kama yeye....shame on her...but tusimlaumu sana coz it seems hadhira yake ndo inachokitaka...thanks God nilipoona jina la kipind first time wakat wa ku lauch hiko kipindi...nilishajivua kuwa mmoja wa fans...aftr oll hata DIAMOND MWENYEW NI CHEAP......unawezaje kuulizwa maswal kama hayo na mtu ambaye anakwenda haja ndogo akiwa amechchumaaa?
 
Mmmh, naona salama ana-make headlines tu wiki hii
 
nackia tetesi ka salam ni kademu ka NGOSHA aka MUELIMISHAJI aka MWANZA MWANZA
 

Binafsi sijawahi na sitokaa kuangalia kipindi hiki na kile kingine cha mambo ya umbea umbea na taarifa za watu cha take one! mi naona vya kizushi havina lolote la maana kwa jamii.najua wengi wanapenda vipindi hivi hasa hasa wake zetu, mama zetu, dada zetu..ila kwa kweli havina mashiko..sasa hayo maneno uliyoyasikia kuna nyumba nyingi utakuta walikuwa wanatazama na utakuta na watoto wadogo nao wapo wanaangalia halafu watu hata hawashtuki
 

wewe aliyekutuma kuangalia ni nani tuachie vijana maji ya moto tuangalie..kwani tusi ni nini hapo condom ni tusi?kujaaliw kama punda ni tusi kwako kwasababu una corrupt mind ila mtoto atajua ni wannyama tu wa huko mbugani wamejaaliwa kupendwa..
 

Sio lazima,anaweza akasimama na mkojo ukatoka pia!
 
" Eti kwa nini tunakubali kuziharibu mila zetu kwa kuiga za wazungu". Hii sii sahihi hata kidogo. Kuna madudu mengine ambayo tunafanya hata wazungu wenyewe wanatushangaa. Hawajahi kufanya hiyo makitu hata mara moja. Hayo maswali uliyonukuu kutoka kwa salama huwezi kuyasikia kwenye radio za nchi za wazungu, haswa katika muda huo uliosema, prime time. Mambo mengine ni bangi zetu tu, wala hamna cha mzungu wala nini!
 
Watanzania bana kwa kulalamika, sasa unataka tafsida gani zaidi ya hapa? Usitake kuipa TV kazi ya kulea wanao.


E. coli is the name of a type of bacteria that lives in your intestines. Most types of E. coli are harmless. However, some types can make you sick and cause diarrhea. One type causes travelers' diarrhea. The worst type of E. colicauses bloody diarrhea, and can sometimes cause kidney failure and even death. These problems are most likely to occur in children and in adults with weak immune systems.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…