LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 252
Diamond mwenyewe alimjibuje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
salama jabir ndo nani??
Tangu kuanzishwa kwake, nimekuwa mfuasi mzuri wa kipindi cha MKASI kinachorushwa na kituo cha East Africa TV. Jumatatu akiwa anamhoji msanii Diamond, Salama Jabir alimuuliza msanii huyo, KWA MARA YA MWISHO UME-SEX LINI? Ikiwa hiyo haitoshi, akamuuliza HUWA UNATUMIA CONDOM AINA GANI? Pia, akamwamwambia NASIKIA UMEBARIKIWA KAMA PUNDA,,,,,NDIO MAANA WANAWAKE WENGI WANAKUFUATA,,,,,
Nilijiuliza maswali yafuatayo:
1. Inakuwaje Salama aulize maswali hayo bila kutumia tafsida?
2. Kipindi hiki ambacho hurushwa wakati wa prime time, muda ambao familia nyingi huwa (sitting room) nyumbani,
inakuwaje baba, mama na mtoto ambao walisikia kwa pamoja maswali hayo?
3. Lengo la Salama lilikuwa ni nini?
4. Kwanini tunakubali mila na desturi zetu kuziharibu namna hii kwa kuiga uzungu?
Tunakupenda, tunapenda ubunifu wako, tunathamini kipaji chako,,,,lakini tunakuomba ubadilike
Kama ni ya vijana pekee it is even worse maana this conversation is not suitable for the youth.Hivi watu wazima wanatizama EATV! Nilidhani ni channel ya vijana pekee.
kwanza nikufahamishe kuwa, kuna kitu kinaitwa watershed ambacho nadhani hapa kwetu hakizingatiwi labda kwasababu za uzembe au kutokujali kwa watendaji wa vituo husika vya television.Lakini hapohapo kwenye watershed,kila inchi ina muda ambao vipindi ambavyo vina "adult content" vinaruhusiwa kurushwa hewani ikieleweka bayana kwamba watoto hawato ruhusiwa kuangalia television katika kipindi hicho. Tafsiri fupi ya watershed ni hiyo hapo chini!
In television, the term watershed (alternatively referred to as safe harbor in the United States, and as adult time in Venezuela) denotes the time period in a television schedule during which programs with adult content can air.
Much as how a watershed in British and Australian usage refers to "the ridge or crest line dividing two drainage areas", a television watershed also serves as a dividing line it divides the time between where content for families and/or children has to be aired, and where content aimed towards an adult audience can be aired (there is no obligation to). Examples of adult content include, but are not limited to, graphic violence, horror, strong language, nudity, sexual intercourse or reference, drug use, and/or sexually suggestive themes. In most countries, the same set of rules also apply to commercial advertisements (whether it be the way the commercial was produced or an advertisement for an adult product, such as condoms).
Due to cultural differences around the world, watershed times can vary (for instance, in New Zealand, the watershed time is at 20:30, and in Italy, the watershed time is at 22:30). Some countries also have multiple watershed layers, where less inappropriate content than others may be allowed at an earlier time but may still be restricted. In addition, some countries may be more lenient towards subscription or pay-per-view channels than towards free-to-air channels.
Kumbe mamba aliulizwa hivyo..
huyu kaka ni mcheza show wa bendi gani??
Hivi watu wazima wanatizama EATV! Nilidhani ni channel ya vijana pekee.
salma jabir bongolalaa huyoo by mpigamsuli
mkasi ndo kipindi gani,kinaonyeshwa na aljazeera au
Naomba niwe mkweli tu kwenye hili, clouds tv kwangu ni scrambled channel, Tbc hii channel niliispare kwa ajili ya tamthilia ya La Revenge tu, Mkasi hicho kipindi huwa kinanikuta accidetaly tu tena kikiwa katikati, sijawai kuona la maana zaidi ya kuoshana miguu na kukata kucha, nilisikitika sana kumuona Aden Rage naye akiwa ni miongoni mwa washiriki wa ujinga huo.
But all in all Salama ana kipaji kizuri sana ila nadhani apunguze bangi na akubali kama yeye ni mtoto wa kike. Atajifanya msela sana na kauzu zaidi ya dagaa lakini mwisho wa sikuu akikojowa ni lazima achuchumae.